TAMKO LETU KUHUSU MZIGO UNAODAIWA KUWA NI FAKE NA MSAMAHA WA WEMA KWENU WATEJA.

 tom

CLICK IMAGE TO ZOOM
tom2

KWA YEYOTE MWENYE WASIWASI ANAWEZA KUFATILIA RISITI HALALI ILIYOTUMIKA KUNUNUA MZIGO TAJWA NI HIYO NAMBA ZA SIMU ZIPO UNAWEZA PIGA UKAULIZA.

KUMEKUWA NA UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI ULIOFANYWA NA BLOGGER MMOJA KUHUSIANA NA BIDHAA ANAYODAI NI FAKE ILIYONUNULIWA KWENYE DUKA LETU, JAMBO HILO LILITUSHTUA SANA NA KUJIULIZA NI KWANINI DADA HUYU HAKUAMUA KUJA KUUULIZA KABLA HAJAAMUA KUWEKA HABARI HIYO KWENYE BLOG YAKE.

TULIWASILIANA NA MWANADADA WEMA AMBAYE ALIKANA KUTOA HABARI HIZO AMBAZO MANGE ANADAI WEMA ALIMWAMBIA, PIA WEMA SEPETU AMBAYE ALITUMIKA KWENYE BLOG HIYO AMEOMBA RADHI NA KUSEMA ALITUMIWA VIBAYA BILA RIDHAA YAKE NA BLOG HIYO YA U-TURN, SIO NIA YETU KULUMBANA LAKINI IMEBIDI JITIHADA HIZI ZITUMIKE ILI KUREJESHA IMANI KWA WALE AMBAO WALITUELEWA VIBAYA KUTOKANA NA UPOTOSHWAJI WA WASIOPENDA MAENDELEO YA WATU,

HATUSHINDANI WALA HATUGOMBANI NA MTU NA SIO KWAMBA HATUNA UWEZO HUO LA HASHA UWEZO TUNAO NA KAMA UMJINI SIDHANI KAMA ANA UMJINI KUSHINDI SISI WENYE MJI HUU, ILA MUDA WA KUJIBISHANA NAUTUMIA VYEMA KUMAKE THEM MONEY.

WITO WETU KWA VIJANA, TUPENDANE NA TUACHE MAJUNGU HAYASAIDII KWANI MWISHO WA SIKU MMOJA AKIHARIBIKIWA SIO KWAMBA RIZIKI YAKE UTAIPATA WEWE ASILANI. TUFANYE KAZI NA KAMA RIZIKI NI YAKO ITAKUJA TUU.

MWISHO TUNAWAOMBA RADHI WATEJA WETU WALIOKWAZWA NA UJINGA AU UPUMBAVU WA WACHACHE AMBAO WAMEUMBWA KULUMBANA NA WENZIWAO, WASIWE NA SHAKA KWANI WATU HAWA HATA KWENYE VITABU VYA DINI WAMEANDIKWA KWANI HATA SHETANI NI KIUMBE WA MUNGU NA WAO PIA WAPO KWA NAFASI ZAO HUMU DUNIANI.

NYOTE MNAKARIBISHWA KWANI MALI MPYA IMEWASILI NA UKIJA DUKANI UTAONYESHWA RISITI ZA MZIGO ULIPONUNULIWA NA RISITI ZA KULIPIA USHURU WA KUTOLEA MZIGO PIA ZIPO NA VIVULI VYA TICKET ZA WALIOKUJA NA MZIGO PIA IKIBIDI TUTAWEKA HAPA.

UONGOZI – JACKZ COSMETICS

KARIBUNI SANA.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s